Hii Ndo Inabamba Lyrics: Gody Tennor ft Kappy, Kushman & Tipsy Gee
Read “Hii ndo Inabamba” lyrics by Gody Tennor, featuring Kappy, Kushman, and Tipsy Gee. “Hii ndo Inabamba” is an “arbantone” anthem produced by SoundKraft. SoundKraft is a Kenyan producer best known for pioneering the new Kenyan “arbantone” sounds.
“Hii ndo inabamba” is a Kenyan sheng phrase that means – this is the one that will make you happy.
Hii Ndo Inabamba Lyrics
Cheki pori iko best, pori iko top
Leo tunakanjana na macheque
Shida si doh
Shida ni pombe ikiwa less na tuko zone
Na venye venye bana tunaflex
Waiter asitumess, leta hizo ma Best
Nasema ramsha inabamba
Ramsha inabamba
Shamra inabamba
Hii ndo inabamba
Nasema ramsha inabamba
Ramsha inabamba
Shamra inabamba
Hii ndo inabamba
Ey, juu ya blunt ndo shing tunavuva
Ni Dancehall lyrical doctor ni buda
Zimeshika tuko high hivi hivi
Macho zimenyanya flight mode easy easy
Huenda poa na Malawi
Fresh Bob Marley
Fresh juu ya matawi
Nikiskunk mi sinawi
Koro ndo imenifanya wanati
Ka si gode juu ya cookie mi sitaki aah
Ni namba Uno, bazu unaeza pull up
Moshi ni ya mangwai kurubai na makulo
Same thing fully loaded zote ni alarm
Zote ziko box yaani zote ni ajab
Nasema ramsha inabamba
Ramsha inabamba
Shamra inabamba
Hii ndo inabamba
Nasema ramsha inabamba
Ramsha inabamba
Shamra inabamba
Hii ndo inabamba
Leo tuko juu ya doba
Tukizaski Zakayo akibanja
Hapa ganji ndo inabonga
Ka huna ganji nyamaza
Naskia niko mavitu jo niko mabidhaa
Kwa mfuko ni mathao tu, tucheze na Uber
Wanjiku huwaga bestie na jo ameiva
Leo nateka tu mapengting akina Aisha
Leo kaveve kanazozea Mirema
Zikishika tunavuka Casavera
Ama tufike huko Juja Containers
Ka ni form tunaeza kesha
Kwani ni kesho?
Nasema ramsha inabamba
Ramsha inabamba
Shamra inabamba
Hii ndo inabamba
Nasema ramsha inabamba
Ramsha inabamba
Shamra inabamba
Hii ndo inabamba
Mkichanga doh za chama siko
Lakini mkichanga za mzinga nieke kwa hesabu
Hio mali iende chain chain
Na hata ka ni nyongi sijali, nieke kwa hesabu
Maji ya ugali imekuwa ya kuoga
Hii ni tabia ya maskini akiomoka
Mwalimu wa math alisema siendi mbali
Sai naleta attension kama game ya Man U na Arsenali
Msupa kaa mbali na mimi hio ni onyo
Niko na kutu inaeza tafuna hasi Kibogoyo
Arbantone ndo inabamba
Amapiano zina sound
Kama sauti ya kunyamba
Genge na beat tu kidogo tukiwa tipsy
Ndio ile doba ya wazing tunakatika hivi
Clap clap ndani ya beat tukisonga na rhythm
Tap tap na urepeat ongeza ndani mafeelings
Sema big bum ndo inabamba inamatter
Na umejituma unakata and I love that
Vuva ukitaka kiramsha
Na tunashuka na madam
Denda ni biggy legit mummy si unakaa fiti
Mi ndio Tipsy vi G nataka si tushikiriki eeh
Na ni risky sana, ju nina biggy sana
Uko sure utawezana we nakucheki sana
Nasema ramsha inabamba
Ramsha inabamba
Shamra inabamba
Hii ndo inabamba
Nasema ramsha inabamba
Ramsha inabamba
Shamra inabamba
Hii ndo inabamba