Lessi Sting – Bubu Lyrics ft. Fathermoh & Uncojingjong
Check out “Bubu” lyrics by Lessi Sting featuring Fathermoh and Uncojingjong on Kelxfy. “Bubu” is a new Kenyan sound “arbantone”.
Bubu Lyrics
Akitwerk kuja nyuma yake akikupa Inshallah
Nimeng’ara suti na ka boxer ankara
Haunioni fiti na umepiga mascara
Unyonyoi na ka hunipendi nipe Inshallah
Walai! Na bubu burudika bubu
Nalewa na deni naskia fiti
Walai! Na bubu burudika bubu
Nateka wa morio anaskia fiti
Walai! Na bubu burudika bubu
Nalewa na deni naskia fiti
Walai! Na bubu burudika bubu
Nateka wa morio anaskia fiti
We zako ni ka zimeshika tapika
Ka zimeshika katika
Ka zimeshika bambika
Kaskazini kusini magari biggy biggy
….
Tinga’ling’a ling ring
New phone put dis na unanireverse?
Duka yangu itakatika
Ka si mboka hio shughli rukisha
Niko na taki ya ganji I wanna get richer
Rada nicha addi ticha, addi blicher umejificha
Ju hutaki kutokea kwa picha
Mbona hutaki kutokea kwa picha?
Kuna kitu mtu amekuitisha?
Usione simu ni ya pesa mingi
Ukadhani kuna mtu atakulipisha
Tulisema ukinunua iPhone
Hakuna kitu inafaa kukupita
Kazi tu ni kurecord, kazi tu ni kurecord
Kazi tu ni kurecord
Walai! Na bubu burudika bubu
Nalewa na deni naskia fiti
Walai! Na bubu burudika bubu
Nateka wa morio anaskia fiti
Walai! Na bubu burudika bubu
Nalewa na deni naskia fiti
Walai! Na bubu burudika bubu
Nateka wa morio anaskia fiti
Katoto kakitu kamebeba
Dunda madiaba kuchachisha
Kameiva kam hio kuni lazima
Nampeleka na rieng za kumchemsha
Lights out, amekunywa wine akablackout
Light huexpect it amepass out
Fine girls for you, good girls for you
Dem anavuta fegi I cant fwaka
Time inasonga ikifika mwisho wa mwaka
Mbona madem hawana mawingu na hunyesha
Kitu sure wanapenda hio pleasure
Ama saa zingine M-mbesha
Walai! Na bubu burudika bubu
Nalewa na deni naskia fiti
Walai! Na bubu burudika bubu
Nateka wa morio anaskia fiti
Walai! Na bubu burudika bubu
Nalewa na deni naskia fiti
Walai! Na bubu burudika bubu
Nateka wa morio anaskia fiti
Akitwerk kuja nyuma yake akikupa Inshallah
Nimeng’ara suti na ka boxer ankara
Haunioni fiti na umepiga mascara
Unyonyoi na ka hunipendi nipe Inshallah
Walai!