Hongo ya Karao Lyrics – Mauru Gwash, Nigga Shawn, Saybar, 44 Dugg
Check out “Hongo ya Karao” lyrics by Mauru Gwash, NIGGA SHAWN, Saybar, 44 Dugg on Kelxfy.
Hongo ya Karao Lyrics
34/44
Yoh yoh yoh, yoh yoh yoh
Hongo ya karao siku hizi ni kithao
Na kwa pori ni kimbao
Pole mkubwa, si si si madharau
Aaah, nakivuta ndo angalau
Niondokee izo izo izo swara zao
Izo izo izo swara zao
Niondokee izo izo izo swara zao
Ah niondokee izo swara zao
Nakivuta niondokee izo swara zao
Yoh izo swara zao
Nakivuta niondokee izo swara zao
Ati, yoh izo swara zao
Nigga Shawn mi sijaipenda makarao
Wana mambo lakini iyo ni mambo yao
Wanadai ati kunipiga miaka mbao
Na ni juu ya mbao, iyo si ni madharau
Lazima tuta-fight back mkiviolate
I swear siwezi sit back na fala anani-tempt
Hatujai get along, so sio bure wananihate
Mi hupiga lap their endz, na wanasema wananitrace
Out of ten, nyi wawili ndo na-hate
Ten outta ten, na anaglow ni Shantel
Anapenda madesigner, ma Gucci na Channel
Twende shopping on weekend
Tu catch a flight holidays
Monday back to stage,ndo hao manigga wajue siplay
Naeza drop a million bars na ni si-run out of words
Top 10 kwa charts, five star kwa izo ranks
My niggas got my back na wako ready ku-make a nut
Ju bad bih ako bando
Niliacha lil bro aclap
I’m sick of these btches
Sai inataka racks
Nigga we ni btch ka unayap
Ndani ya aah
Version yangu in your head
I’m badder than that
Hongo ya karao siku hizi ni kithao
Na kwa pori ni kimbao
Pole mkubwa, si si si madharau
Aaah, nakivuta ndo angalau
Niondokee izo izo izo swara zao
Izo izo izo swara zao
Niondokee izo izo izo swara zao
Ah niondokee izo swara zao
Nakivuta niondokee izo swara zao
Yoh izo swara zao
Nakivuta niondokee izo swara zao
Ati, yoh izo swara zao
Nigga Shawn mi sijaipenda makarao
Wana mambo lakini iyo ni mambo yao
Wanadai ati kunipiga miaka mbao
Na ni juu ya mbao, iyo si ni madharau
Hawajui what I have been through
Na sai wananiwatch
Ilinitake time, na sai wananiwatch
Nime-shade blood and tears, a lot imenicost
A lot nime-see but less naeza talk
Talk about us, mi na Shawn jo ni bad
Mi na Gwash tunawashika hizi mabuds
Talk about us, mi na Shawn jo ni bad
Mi na Gwash tunawashika hizi mabuds
Chunga unaeza gwarwa na kinyao
Nadai msupa anaweza fanya hii chuma ikambao
Tunazoza bila hao, hadi wanaita makarao
Nasalitiwa na macharji nimegrow nao
Hadi nashindwa rada how?
Kudandiwa na karao na kwa pori ni kimbao
Hongo ya karao siku hizi ni kimbao
Na magunga tunawashanga saa sita usiku
Si huziwashanga saa sita usiku
Ka ni mboka si hupiganga magiz usiku
Kuwakaba kuwashika usiku
Na magunga tunawashanga saa sita usiku
Si huziwashanga saa sita usiku
Ka ni mboka si hupiganga magiz usiku
Kuwakaba kuwashika usiku