YBW Smith – Madawa Lyrics
Check out “Madawa” lyrics by YBW Smith. “Madawa” is a Swahili word that means medicine; in Sheng, it is used to mean “drugs“.
Madawa Lyrics
Eyoo, ala
Tano Nane, ey skia hii
Yoh, ala, ala, ey ey
Na madawa nilianzaga kula mapema
Ni taki ya kivela umebaki umecheka
Ju bado ni 420 na gode ni ya pili
Unatishika na nini na huwezi kuwa mimi
Na madawa nilianzaga kula mapema
Ni taki ya kivela umebaki umecheka
Ju bado ni 420 na gode ni ya pili
Unatishika na nini na huwezi kuwa mimi
Ni siku ya kwanza ashaanza kuniita besty
Na sare hawa mapengting, serereka ni daily
Buruburu ni wengi napiga look safi
Na shida huna ganji
Hupati ganji, unanitafuta hunipati
Kwani form ni gani si twende Kilimani
Nakuja na mangeus kama 30 gizani
Nipate mali safi tuseti marijuana
Anajiitanga Rihana tukishikana sana
Dem makejani amepata ameziwasha
Akajua mi ni rasta ju nampeleka Jamaica
Ni tano nane na dem hukujaa masaa nane
Ju bado ni 420
Na madawa nilianzaga kula mapema
Ni taki ya kivela umebaki umecheka
Ju bado ni 420 na gode ni ya pili
Unatishika na nini na huwezi kuwa mimi
Na madawa nilianzaga kula mapema
Ni taki ya kivela umebaki umecheka
Ju bado ni 420 na gode ni ya pili
Unatishika na nini na huwezi kuwa mimi
Nirushe kathao manze ongeza kambao
Nishike mali ziraru na warges
Kustore majani shikisha na warabu
Moshi mbili tatu tunavuta kistaarabu, rabu
Banju, nikirap du kwa game
Mi ni saibu nanyambisha kwa mic tu
Chini ya maji nikikemba kumbe ye ni bombe
Nimetoka Buru na doba niomoke
Katikati ya kibenje jo tuko wabling
Ju ya genge ka E-sir ni rada safi
Enda mneti unisake ujue mi ni nani
Mi ndo ule boy dem yako uita hunnie
Magizani ako kwangu hatuwewezani
We ni bani flani anakutoka maganji
Ye hunisaka daily kunivua mashati
Tukikunywa sharubati kwa bafu
Na madawa nilianzaga kula mapema
Ni taki ya kivela umebaki umecheka
Ju bado ni 420 na gode ni ya pili
Unatishika na nini na huwezi kuwa mimi
Na madawa nilianzaga kula mapema
Ni taki ya kivela umebaki umecheka
Ju bado ni 420 na gode ni ya pili
Unatishika na nini na huwezi kuwa mimi