Diamond Platnumz – Mapoz Lyrics ft Mr Blue & Jay Melody
Check out “Mapoz” lyrics by Diamond Platnumz featuring Mr. Blue and Jay Melody on Kelxfy.
Mapoz Lyrics
Hmmmh ooh no no no
(Jay once Again)
It’s S2kizzy beiby
Penzi nzito kilo mia hamsini
Vile napata raha utaniambia nini?
Kuna muda kama siamini
Na kuna muda ni ka napendwa na jini
Maana penzi lako ndege mtini
Niko matawi ya juu nisha tulia mimi
For your love let me sing sing
Nishakolea hatari mapenzini
Tamu pipi ya kijiti, anha
Ukiilamba unacheka
Na kibaridi hiki
Niozesheni hata ndoa ya mkeka
Penzi halishikiki, anha
Linavyotetemesha
Si tufunge muziki
Nikuonyeshe jinsi navyocheza
Mi na mapoz na mimi, mapoz na mi
Mi na mapoz na mi, mapoz na mi
Mi na mapoz na mi, mapoz na mi
Mi na mapoz na mi, mapoz na mi
Mi na mapoz na mimi, mapoz na mi
Mi na mapoz na mi, mapoz na mi
Mi na mapoz na mi, mapoz na mi
Mi na mapoz na mi, mapoz na mi
Mmmh, na sio dumba wala
Raha tu zimenizidi
Sio mambo ya mitala
Penzi mwenyewe nafaidi
Ooh nalishwa nalala
Nakumbatwa kwa baridi
Usione nang’ara
Natunzwa na Alhabibi
Ooh oooh
Matikiti kudondoka
Matikiti kudondokea
Marafiki huwa ni nyoka
Hivyo chunga wanayo ongea
Nikandekande nikichoka
Si unarudi unanifokea
Wenda mwenzio nilipotoka
Mambo fyongo hayaja ninyookea
Tamu pipi ya kijiti, anha
Ukiilamba unacheka
Na kibaridi hiki
Niozesheni hata ndoa ya mkeka
Penzi halishikiki, anha
Linavyotetemesha
Si tufunge muziki
Nikuonyeshe jinsi navyocheza
Mi na mapoz na mimi, mapoz na mi
Mi na mapoz na mi, mapoz na mi
Mi na mapoz na mi, mapoz na mi
Mi na mapoz na mi, mapoz na mi
Mi na mapoz na mimi, mapoz na mi
Mi na mapoz na mi, mapoz na mi
Mi na mapoz na mi, mapoz na mi
Mi na mapoz na mi, mapoz na mi
Ngoja! Huu ni usiku au mchana
Hold up! Hii ni leo au ni jana
Mapoz nami, ah unanikumbusha jana
Roho unavyoirusha ntakuja kufa msichana
Nimepagawa uwanjani na sijui ngapingapi
Refa ni nani mbona mpira hauji kati
Nichague kijani yellow au papii
Au nije muda gani
Ili niende na wakati
Unawakanya mabishoo
Kitandani unanipa show
Mpaka nasahau show, aah wee!
Unanichanganya kwenye roho
Usije kunidanganya no
Weka penzi niweke dooh!
Aah wee
Mapoz na mi, we na mapoz na mi
Mapoz na mi, we na mapoz na mi
Mapoz na mi, we na mapoz na mi
Mapoz na mi, we na mapoz na mimi
Mapoz na mi, mi na mapoz na mi
Mapoz na mi, mi na mapoz na mi
Mapoz na mi, mi na mapoz na mi
Mapoz na mi, mi na mapoz na mimi
Mapoz na mi, mi na mapoz na mi
Mapoz na mi, mi na mapoz na mi
Mapoz na mi, mi na mapoz na mi
Mapoz na mi, mi na mapoz na mimi
Eyoo Zombie
What it do? We back
Numbee moja, moja moja moja
Hii ni sauti ya rais, yaani president
Haujui?