Sean MMG – Ngoma Zangu Lyrics
Read “Ngoma Zangu” lyrics by Sean MMG on Kelxfy. “Ngoma Zangu” is a Swahili word that means my music. Sean MMG is one of the fastest-rising artists to look up to in 2024; he is slowly gaining massive support since launching his music career in 2023.
Ngoma Zangu Lyrics
Yeah skiza (Magi Magi)
Skiza (Magi Magi)
Skiza (Magi Magi)
Napenda ukismile my baby you’re so fine
Unakuwanga umenimaliza mimi so why lie
Nachanganya Kikuyu Kilami ndo niko shy
Si tupige moshi mbili after hapo utakuwa high
Ati! Ni ngoma zangu tu
Ndo zinafanya askie fine
Ni ngoma zangu tu
Ndo anapitisha nazo time
Ni ngoma zangu tu
Ndo zinafanya askie fiti
Na bado ananishow
Ana picha yangu kwa kibeti
Doba ni kali ndo maana mimi naflex
Na siezi ngoja kukuona nikucaress
Na hapendi stori kwanza zile za ma ex
Nampata wapi tena? Kuna venye nilimess
Aah, napendanga vile ukitoka unawamaliza
Ah na ni kichwa mbaya
Na makali anakutandika ah
Ye hupenda moshi
Na ndo maana ananitafutanga
Na ukija mbaya nakucheka
Kwanza zile za ah
Ju all along nimekuwa kwa zone
Nasakanya maganji manamba ziko kwa phone
Zingine zitakubamba zingine zitakuboo
Ju kama brick and lace men am back to the bone
Napenda ukismile my baby you’re so fine
Unakuwanga umenimaliza mimi so why lie
Nachanganya Kikuyu Kilami ndo niko shy
Si tupige moshi mbili after hapo utakuwa high
Ati! Ni ngoma zangu tu
Ndo zinafanya askie fine
Ni ngoma zangu tu
Ndo anapitisha nazo time
Ni ngoma zangu tu
Ndo zinafanya askie fiti
Na bado ananishow
Ana picha yangu kwa kibeti
Napenda ukismile my baby you’re so fine
Nabaki nikiuliza ni lini utakuwa mine
Natamani kubonga na wewe so nipe time
Kuna venye utanipenda so keti nikupe vibe
Anapenda kujituma manzi ni go-getter
Rangi ni ya majuu kila day naget better
Hakuna kitu naduu, ka ganji pia naeza leta
Natamani kumarry ju ka sura kanameta
Na mi silengi kizungu ndo kidogo ngumu
But naeza tupa lugha mpaka uskie kizunguzungu
Napenda vile ukitoka unawamalizanga
Si ufike hivi dakika mbili ubaki umeshangaa
Napenda ukismile my baby you’re so fine
Unakuwanga umenimaliza mimi so why lie
Nachanganya Kikuyu Kilami ndo niko shy
Si tupige moshi mbili after hapo utakuwa high
Ati! Ni ngoma zangu tu
Ndo zinafanya askie fine
Ni ngoma zangu tu
Ndo anapitisha nazo time
Ni ngoma zangu tu
Ndo zinafanya askie fiti
Na bado ananishow
Ana picha yangu kwa kibeti