Soundkraft – Every Dakika Lyrics ft. Ranzscooby & Mr. Tee
Check out “Every Dakika” lyrics by Soundkraft featuring Ranzscooby and Mr. Tee on Kelxfy. “Every Dakika” is an arbantone song that talks about having fun and good times with friends.
Every Dakika Lyrics
Yoh Yoh yoh
Easy bud walai toa form, ah
Woosah, Serenity haa
Umenicuff kama njege
Niko kwa senke na buda kuna njeve
Na niko heaven ka jaba na ka reggea
Lamba lila lilo (Like a Boss)
Ukikata walai we katika
Unadai Kyla na dem anakatika
Kuna form flani walae siwezi pitwa
Huyu msupa flani anapenda kukatika
Niko na kapeng pale gram Monalisa
Yela ni katen ni mabomb na mashisha
Cheki anaperform mali clean mali fisa
Utadhani wedding cake baby girl she a diva
Malawian zimeshika
Fine melanin kama indica amenishika
Uuuh, aah, straight to Ibiza
Granddaddy purple, cash money, ama visa
Kwela jo ni peng ninapenda Monalisa
Zangu zimedonjo walai zimeshika
Game niko fiti my girl huezi keep her
Chini down town
Every dakika anapenda kukatika
Uh, anapenda kukatika
Every dakika anapenda kukatika
Aah na kukata coaster liquor
Every dakika anapenda kukatika
Mali mi nachoma zimetoka Coasta Rica
Manzi akikam mi nampaka paprika
Ye ni diva walai ananimaliza
Astalavista, mi sina visa
Zangu zimeshika utadhani
Manzi akicheat anajua kusafisha
Kalongo longo mchezo wa kuigiza
Mi hupenda napenda
Niko jaba, siwezi tema, siwezi tema
Hiyo denda kwa dera
Buda mi naitaka tena na tena
Nikirap, anadhani Skillibeng
Manzi amekuja, anapenda mjulubeng
Pale kitandani, anapenda tu ku-bend
Anatrend anataka tu kutrend
Kwela jo ni peng ninapenda Monalisa
Zangu zimedonjo walai zimeshika
Game niko fiti my girl huezi keep her
Chini down town
Every dakika anapenda kukatika
Uh, anapenda kukatika
Every dakika anapenda kukatika
Aah na kukata coaster liquor
Every dakika anapenda kukatika
Uh, anapenda kukatika
Every dakika anapenda kukatika
Aah na kukata coaster liquor