Sean MMG ft. YBW Smith – Gongewa Lyrics

Check out “Gongewa” lyrics by Sean MMG featuring YBW Smith on Kelxfy.
Gongewa Lyrics
Alaa! Kuna dem flani anabanja vitu funny
Yes it’s funny unabonga juu ya nani
Ukitolewa kejani na body yake baggy
Anajiita dem classy unagongewa gizani
Unagongewa na what?
Wanagongewa kwa flat
Wanagongewa kwa BNB flani pale mtaa
Wanagongewa kwa ndae after ride ni ma bye
After that ni masmile wanataka kuenda out
Unagongewa ki…unagongewa kifaa
Inagongewa kwa BNB flani apo mtaa
Unagongewa ki…unagongewa mamaa
Inagongewa kwa BNB flani apo mtaa
Unagongewa ki…unagongewa kifaa
Inagongewa kwa BNB flani apo mtaa
Unagongewa ki…unagongewa mamaa
Inagongewa kwa BNB flani apo mtaa
Kitu safi tunagonga
Kama si safi to the left basi songa
Unaeza bang bang naeza fikisha kwa kona
Nani unagongewa cheki sasa hauwezi bonga
Wao husemanga ni maji ni venye anavuta mamini
We kama hauniamini tunaweza tell
Ndo maana saa sita kamili nabonga kama wakili
Cheki kizungu ni mingi unaweza tell
Unagongewa ki…unagongewa kifaa
Inagongewa kwa BNB flani apo mtaa
Unagongewa ki…unagongewa mamaa
Inagongewa kwa BNB flani apo mtaa
Unagongewa ki…unagongewa kifaa
Inagongewa kwa BNB flani apo mtaa
Unagongewa ki…unagongewa mamaa
Inagongewa kwa BNB flani apo mtaa
Niligongewa na trend anapenda kuja West
Kuna venye anabonga sana bana kama tepe
Anasema mi humtrace lakini ye hunitext
Anapiga tenje mara mingi akidai tuset
Alikuwa wa Daystar remember ni hate
Ni ka amepigwa tender walai unatembeza
Unagongewa kwa keja unathrow piga pena
Naiwatch kama refa mrudishe kwa sender
Unagongewa ki…unagongewa kifaa
Inagongewa kwa BNB flani apo mtaa
Unagongewa ki…unagongewa mamaa
Inagongewa kwa BNB flani apo mtaa
Unagongewa ki…unagongewa kifaa
Inagongewa kwa BNB flani apo mtaa
Unagongewa ki…unagongewa mamaa
Inagongewa kwa BNB flani apo mtaa
Cheki nanii si unagongewa mamaa
Alikuita ni family sai inapigwa kibuda
Dakika moja, dakika mbili we unabaki ukizubaa
Washatekana tekana washashikana kwa baa
Next time utabaki umeficha mamaa
Na kusema ukweli si ulisema si mafala
Ulidai nabonga sana ukajifanya kama mamaa
Sa cheki unagongewa unabaki umecheki colors
Unagongewa ki…unagongewa kifaa
Inagongewa kwa BNB flani apo mtaa
Unagongewa ki…unagongewa mamaa
Inagongewa kwa BNB flani apo mtaa
Unagongewa ki…unagongewa kifaa
Inagongewa kwa BNB flani apo mtaa
Unagongewa ki…unagongewa mamaa
Inagongewa kwa BNB flani apo mtaa